jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,866
- 10,163
Hii caldina ni third generation nyie mnaita new model, point yangu: hakuna yenye cc 1490, hvyo rekebisha tangazo lakoToyota caldina
new model
1490cc
no reg c
price 6.5m
kwa mahitaji ya kununua au kuuza gari yako tafadhali tupigie tukusaidie kwa haraka na uhakika
0659756646
0623953036
karibu sana kwenye page yetu mpya ya instagram @jeryempire. InstagramView attachment 1240057View attachment 1240058View attachment 1240059
duh huwez panda kidogo ndugnna m.4 nitafutie yoyote namba d
unataka no gani mkuu hyo rumionNatafuta corola RUMION
WANAKUJA NA MIONGOZO YAO MKUUU.Habari.
Naitwa Jerry natokea Jerry Empire, mahali pekee tunapohusika na uuzaji magari used ndani ya Tanzania na hata yale kutoka Japan.
Kupitia sisi unaweza kuuza gari yako kwa haraka na bila kusahau unaweza kununua gari bora kabisa ambayo imetumika Tanzania kwa gharama nafuu.
Tutafute ili tukupatie gari unayoitaka kwa gharama nafuu pia tukuuzie gari yako kwa haraka na wateja wa uhakika.
Tunafanya kazi siku zote za wiki, gari zetu ambazo tumeshazikagua na kujiridhisha kuwa zinafaa kuuzwa nasi kwa maana ya uzima na ubora, hivyo kupitia sisi utaweza kupata gari ya ndoto yako nzuri ambayo hutojutia.
Tupo Ilala Dar es Salaam, karibuni sana.
Mawasiliano:
0659 756 647
Whatsapp 0623 953 036
toyota mark x
mwaka 2004
engene ndogo
imepata ajali hapo mbele
kila kitu kiko vizuri ukitoa hpo mbele
bei 5m
0659756647
0623953036
kama unahitaji kununua au kuuza gari yako tutafute tupate kukusaidia kwa harakaView attachment 1240853View attachment 1240854View attachment 1240855View attachment 1240856
unataka no gani boss?mkuu RAV 4 L inapatikana kwa sh ngap
zpo mkuu karibu sanaUna Corrola X
dah uko chini sana mkuu hyo gari ukirekebisha hapo mbele hata kwa 1m gari mpya hyo utaweza kuiuza hata 9m maana ni mpyaMkuu kuna 3m plz
Weka ulizo nazo mkuu hapazpo mkuu karibu sana
dah uko chini sana mkuu hyo gari ukirekebisha hapo mbele hata kwa 1m gari mpya hyo utaweza kuiuza hata 9m maana ni mpya