Magari magari toka ulaya

ulayaulaya

Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
6
Reaction score
0
jamani ndugu zanguni nina magari haya nauza
Audi A6 excutive 1999 iko kwenye condition nzuri niya silver nani automatic mwingereza u can expect the quality mil. 16 tuu na nina Daihatsu sirion very economical interms of fuel consuptions ni ya Blue manual transmition nani ya mwaka 2000 very new na milliage ni 45000 tuu ideal for a woman mil.8 tuu.Karibuni
 
Kama ni ya UK hope izo milleage ziko kwa miles?
 

Toka mwaka huo mpaka sasa 2012 uliifungia store?
 
Spea vipi upatikanaji magari ya Ulaya?
 
Wakuu mbona spare ziko dunia imekuwa kijiji sasa. nimesema hiyo ya mwaka 2000 ni kama mpya kwa sababu ilikuwa haijatumika at all. ok???
 

Attachments

  • Aud A6.jpg
    18.3 KB · Views: 102
  • Audi 2.jpg
    17.9 KB · Views: 97
  • daihatsu sirion 1.jpg
    1.3 KB · Views: 254
Wakuu mbona spare ziko dunia imekuwa kijiji sasa. nimesema hiyo ya mwaka 2000 ni kama mpya kwa sababu ilikuwa haijatumika at all. ok???

Bei ya kuanzia ningapi mkuu?
 
hayo magari umesema yapo wapi tena? Duh picha hujatoa unatafuta wateja za ndani ya gari nazo zipo wapi? unatumiwa nini na mtu? mbona huzipigi haraka ukaleta humu ya gari zaote wanaotaka kununua wanunue

haya jamani kuna link za kucheck history ya magari haya pia ya ulaya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…