Madera kutoka Mombasa

killer whale

Member
Joined
Nov 9, 2017
Posts
60
Reaction score
19
Tunauza madera ya kutoka mombasa na yenye mitandio mikubwa.

Bei ni Tsh 14,000/=

Tupo Dar 0659469663
 
Ule mzigo ulontumia kwa gar la kilimanjaro umefika salama nashkuru..naomba niwekee mengine 10 alaf ntumie pich nichague..mana nmekuchek wasap hujafungua txt
 
Madera toka Mombasa yanauzwa

Madera

Teh nmependa hii style yako ya biashara, unajifungulia uzi mwenyewe, na kujishukuru kwa kutumiwa mzigo,hii kiboko haki a mama....umesahau kuchange namba ya simu
 
Ule mzigo ulontumia kwa gar la kilimanjaro umefika salama nashkuru..naomba niwekee mengine 10 alaf ntumie pich nichague..mana nmekuchek wasap hujafungua txt

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.

Wewe una multiple IDs sasa ulichokosea ni kuweka namba ya simu ile ile.
Alafu kingine bei umeweka ile ile.
Mkuu JF sio Facebook page

Madera toka Mombasa yanauzwa
 
Cha msingi ni kuwa huna nia ya kununua full stop..ungekuwa na haja ya bidhaa wala usingejali kuhusu tangazo au njia iliyotumika kutangaza
 
kausha Evelyn Salt, ila nimecheka sana tu.
Mm nna akaunt jf na mke wang ana akaunt..mm nlikuwa tanga kwa muda nikamtumia mzigo mke wang dar ambaye yy pia anatangaza humu jf na huwa tunaweka namba ya mke wang na ya kwangu
 
Acha uwongo wewe loooh!! Kudanganya kwenyewe huwezi atii mimi na mke wangu mara huwa unanunuaga mzigo kwa huyo jamaaa....mkeo unamshukuru kwa kukutumia mzigo na mnafanya wote biashara
na namba yenu ya simu moja mke na mume
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…