Madeni yanatia uchizi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,979
46,063
Madeni ambayo yanazidi kipato chako unaweza ukapigika nayo mpaka ukakosa hela ya kununua dawa ya meno na unaweza kukaa mwezi bila hela mpaka usione umuhimu wa dawa ya meno.mtu mmoja unadaiwa na bank,na micro credits,kausha damu,kodi,vifurushi,chakula wakati kipato chenyewe hakitoshi kiasi kwamba mshahara unachukua chini ya siku tatu.laki hio ambayo unaipata kwa mbinde ikija kwenye matumizi inaisha haraka Sana
 
Simama kunywa pombe kwa muda hata wa miezi 6 tu
utakuja kujua una fail wapi.
 

Pole sana
 
Usiogope kukopa nchi hii
Ila hakikisha baadhi ya Amana zisiwe kwa jina lako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…