Machine ya maxmalipo inauzwa

RORYAKWETU

Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
83
Reaction score
13
Bei laki 4.5 ninazombili nauza moja niongezee mtaji ni hizi mpya nilinunua mwezi wa 6 nipo mwanza anayehitaji nipigie kwa 0788006200.
 
mkuu mi nahitaji ila naomba kwanza unifafanulie faida ya kutumia max malipo na hasara zake zinaweza tokea vipi.na nitatakiwa kuweka shilingi ngapi ili kuanza biashara.my contact 0768758877
 
Mkuu kwani bei halisi ya hizo machine ni kiasi gani na je inaruhusiwa kuchange ownership?
 
Laki 5 + kiasi kisichopungua 300000 kama mtaji. Kuhuau ownership c ni yako ukishanunua? Au cijakuelewa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…