Macbook Pro Retina for sale

Nmependa hill cover lake jekundu, unaliuzaje?
 
Nipo na mac book pro 13', natafuta kioo chake, ilianguka kioo cha nje kimetengeneza cracks hatari, kioo cha ndani kipo salama. Kwa anayejua napataje hiyo bidhaa?
 
Nipo na mac book pro 13', natafuta kioo chake, ilianguka kioo cha nje kimetengeneza cracks hatari, kioo cha ndani kipo salama. Kwa anayejua napataje hiyo bidhaa?

Peleka apple store yoyote then technical departmnt yake inaweza ikakuagizia nje.
 
Pamoja..and kama uko dzm nenda m city apple store watakudirect and kama upo Arusha nenda sound and vision wanatechncal department apo..so far hivyo ndo nnavyojua.
Nipo Arusha mkuu, sound and vision hawakuwa na hiyo outer glass lakini sikuulizia option ya wao kuniagizia nje itabidi Nirudi tena, nadhani kuna umuhimu wa watu tukajifunza online shopping.
 
Nipo Arusha mkuu, sound and vision hawakuwa na hiyo outer glass lakini sikuulizia option ya wao kuniagizia nje itabidi Nirudi tena, nadhani kuna umuhimu wa watu tukajifunza online shopping.

Yeah sana
 
And infact personally nnaposema uniPM in public najaribu kucheck useriousness uliopo..kama kweli mtu yuko serious then lazima atakuPM as the slogan “mteja mfalme”
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…