Kuuliza sio ujinga na anaeuliza anataka kufahamu, hivi macbook zina sifa gani za kipekee mpaka kuuzwa kwa pesa ndefu tofaut na pc zingine mfano kwa specification hizo hapo juu mbona Hp yangu ipo juu zaidi na bei haikufika million
Hii kitu naitamani sana, ila uwezo sasa ndo issue, kwa heshima lakini, laki 8 utachukua? ingawa najua thamani yake ni: about 2m ikiwa mpya. Nijulishe, usichukulie dharau, ni uwezo tu kaka na mimi najaribu.