Looking For A Head Housekeeper

bbenedict

Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
91
Reaction score
7
Hi Wanandugu,housekeeper(mwanamke) Anahitajika Porini,awe Na Uzoefu Usiopungua Miaka Mitatu Upande Wa Rooms.Awe Anajua Kingereza Vizuri,awe Na Reference Watatu Wa Kuaminika Na Awe Na Relevant Past Employer,s Letter Of Service.Kama Unaona Unavigezo Tuma CV Na scanned certificate vya vyeti vinavyohusika kuthibitisha umepitia fani ya hotel management.mmsiyo dalali wa kutafutia watu kazi,nimeagizwa tu na rafiki wa karibu ambaye amefungua lodge.mshahara mzuri,tuma maombi kupitia email adress yangu ambayo ni blandinebenedict@gmail.com kabla ya tarehe 7.ambatanisha na relevant docs zote maana tutahitaji kufuatilia docs na waajiri wako,ahsanteni.piga 0756597108 kwa maelezo zaidi,sipokei rushwa.serious applicants only please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…