Banda la mkaa linakodishwa
Eneo liliopo ni Kunduchi beach (mtongani)
Biashara ni ya kuaminika kabisa
Unaweza kuja kuona eneo lenyewe pia
Malipo ni kwa miezi mitatu au sita
Sh 30000 mwenzi mmoja....
Kwa mawasiliano nipigie 0692_942719
Karibu sana...
Sent using
Jamii Forums mobile app