Location: Dar es Salaam
Processor: Intel Core i3 (6th Gen)
Hard Disk: 500 GB
RAM: 4 GB
Operating System: Windows 10 Pro 64-Bit
Additional Software: Microsoft Office Professional Plus 2013
Acha ushamba, kama huuzi picha umeweka za nini?? Usiwe jinga..weka Picha halisi ya Bidhaa watu tuitambue katika muonekano halisi,, sio kudownload picha mitandaoni.
Mfano hiyo picha ya kwanza juu ni mara ya pili unaitumia leo ilihali kuna mdau alikuumbua juzi kuwa umedownload na link akaweka. Shwain