Prisoner 46664 JF-Expert Member Joined Dec 18, 2010 Posts 1,948 Reaction score 1,238 Aug 13, 2013 #2 Kwa hivo wame-design nini hapo?operating system?au motherboard?...Au wamecopy na ku- paste "All"?
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Aug 13, 2013 #3 Wamepewa msaada na Yanga hiyo ni special odder toka DELL
C capo JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 232 Reaction score 47 Aug 13, 2013 #4 Umeme upo humo?
Medical Dictionary JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 1,060 Reaction score 309 Aug 14, 2013 #5 tanzania ni moja ya nchi ambayo ina misitu mikubwa duniani lakini bado kuna shule hazina madawati...what a shame
tanzania ni moja ya nchi ambayo ina misitu mikubwa duniani lakini bado kuna shule hazina madawati...what a shame