M mimiamadiwenani JF-Expert Member Joined Mar 9, 2022 Posts 5,750 Reaction score 7,850 Feb 18, 2023 #1 Sabato njema! Ni HP, HDD ni 500GB, CPU ni 2.4 GHZ, RAM ni 8GB. NB: Haina tatizo lolote isipokuwa battery yake haikai na chaji zaidi ya dk 30. Location ni DSM. Nataka niongeze hela ninunue mpya ndugu zangu!
Sabato njema! Ni HP, HDD ni 500GB, CPU ni 2.4 GHZ, RAM ni 8GB. NB: Haina tatizo lolote isipokuwa battery yake haikai na chaji zaidi ya dk 30. Location ni DSM. Nataka niongeze hela ninunue mpya ndugu zangu!
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,941 Reaction score 12,503 Feb 18, 2023 #2 Milioni nane kwa kompyuta ya kijani ni pesa nyingi sana
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,202 Reaction score 25,378 Feb 18, 2023 #3 Sabato imekwisha mkuu. Ingekuwa icore kuanzia 3 ningekupa mteja ila hiyo labda wanachuo.
Board member Senior Member Joined Sep 24, 2021 Posts 107 Reaction score 251 Feb 19, 2023 #4 Mkuu hebu tia nyama kwenye tangazo lako. Mbona unaweka taarifa nusu nusu? Weka bei, picha na angalau ni gen ya ngapi? Regards
Mkuu hebu tia nyama kwenye tangazo lako. Mbona unaweka taarifa nusu nusu? Weka bei, picha na angalau ni gen ya ngapi? Regards
M mimiamadiwenani JF-Expert Member Joined Mar 9, 2022 Posts 5,750 Reaction score 7,850 Feb 19, 2023 Thread starter #5 TODAYS said: Sabato imekwisha mkuu. Ingekuwa icore kuanzia 3 ningekupa mteja ila hiyo labda wanachuo. Click to expand... Kwa nini wasema hivyo ndugu? Ni core i3 hiyo.
TODAYS said: Sabato imekwisha mkuu. Ingekuwa icore kuanzia 3 ningekupa mteja ila hiyo labda wanachuo. Click to expand... Kwa nini wasema hivyo ndugu? Ni core i3 hiyo.
M mimiamadiwenani JF-Expert Member Joined Mar 9, 2022 Posts 5,750 Reaction score 7,850 Feb 19, 2023 Thread starter #6 Board member said: Mkuu hebu tia nyama kwenye tangazo lako. Mbona unaweka taarifa nusu nusu? Weka bei, picha na angalau ni gen ya ngapi? Regards Click to expand... 320000
Board member said: Mkuu hebu tia nyama kwenye tangazo lako. Mbona unaweka taarifa nusu nusu? Weka bei, picha na angalau ni gen ya ngapi? Regards Click to expand... 320000
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 10,889 Reaction score 18,836 Feb 19, 2023 #7 weka picha
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,202 Reaction score 25,378 Feb 20, 2023 #8 mimiamadiwenani said: Kwa nini wasema hivyo ndugu? Ni core i3 hiyo. Click to expand... Hukuandika.