Huna pesa Kaa Pembeni, Huo mkasi umekunyoa Ndevu zako?Kwa lenovo hiyo siyo bei chee huo ni mkasi ungeiuza 250 ungeshakula pesa chap
sent from toyota Allex
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Na wewe unatumia Tecno[emoji3][emoji3][emoji3]Lenovo mpya kabisa inauzwa kwa bei chee,
Specifications
RAM 4 GB
64 Bit
Hard disk 500GB
Intel(R) Pentium(R) CPU N3540@2.16GHz 2.16 GHs
Bei 350K(laki tatu na Nusu ), Maongezi yapo PM
Location mwanza/Dodoma
View attachment 1327881View attachment 1327883View attachment 1327884
Nb
Picha kwa camera ya Tecno samahanini hazijatoka vizuri.
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe unatumia Tecno[emoji3][emoji3][emoji3]
[/QUOTE
Ina licensed Os pamoja na keys zake? Ni genuine hiyo license? Naweza ni confirm na Microsoft kuhusu genuineness zake?
Processor feature ni scalable? RAM feature
Je pia ni scalable? Warrant IPO??