Laptop ata ukiwa na laki na nusu unapata lakini je Laptop utakayopata itakuwa na ukubwa gani namaanisha Ram, hard disk intel na Nk,Naitaka laptop lkn kwa bei hiyo napata mpya dukani labda chukua laki 3 fasta
Mzee ukubwa wa PC sio ram, hard disk .ukuwa wa PC ni processor. Ram Na hard disk vinaongezwa tu.. kwa wanao jua mashine akikupa 300k ShukuruLaptop ata ukiwa na laki na nusu unapata lakini je Laptop utakayopata itakuwa na ukubwa gani namaanisha Ram, hard disk intel na Nk,
Umesoma vyema specification ya hiyo Laptop ukipata dukani yenye uwezo kama hiyo chini ya Lakini nane njoo nikuuzie kwa laki tatu uliyonayo
CC Zero IQ
Kwa hiyo wewe umeona processor yake ndogoMzee ukubwa wa PC sio ram, hard disk .ukuwa wa PC ni processor. Ram Na hard disk vinaongezwa tu.. kwa wanao jua mashine akikupa 300k Shukuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nataka hiyo ya laki na nusu naipataje?siriaz bizinesiLaptop ata ukiwa na laki na nusu unapata lakini je Laptop utakayopata itakuwa na ukubwa gani namaanisha Ram, hard disk intel na Nk,
Umesoma vyema specification ya hiyo Laptop ukipata dukani yenye uwezo kama hiyo chini ya Lakini nane njoo nikuuzie kwa laki tatu uliyonayo
CC Zero IQ
Shop tu PC yenye processor Intel(R)core!5-2410M CPU @2.50GHz 2.50GHz aiwez zidi 400k ikizingua ndani ya miezi 6 unapewa nyingene ... Kama iyo hard disk Na ram unaona ndo big issue zitoe .. unambiwa upewe 300k utaki .. hahahaha ban izo cd Na NYIMBO ndo kazi ya hard disk .Kwa hiyo wewe umeona processor yake ndogo
CC Zero IQ
Mkuu hiyo ni biashara yangu unataka niifanye kwa matakwa yako?Shop tu PC yenye processor Intel(R)core!5-2410M CPU @2.50GHz 2.50GHz aiwez zidi 400k ikizingua ndani ya miezi 6 unapewa nyingene ... Kama iyo hard disk Na ram unaona ndo big issue zitoe .. unambiwa upewe 300k utaki .. hahahaha ban izo cd Na NYIMBO ndo kazi ya hard disk .
Graphics yake ngapi ? Generation ya ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
PC nikitu chakawaida tu ..Kama simu tu chukua iyo 300kMkuu hiyo ni biashara yangu unataka niifanye kwa matakwa yako?
CC Zero IQ