Mkuu upo sahihi ila wakati mwingine bei inategemea na namna mtu alivyopata kitu na uharaka wa pesa, tangu juzi mpaka dakika hii hata hiyo 400 niliyosema hakuna aliyenicheki Whatsapp wala kunipigia. Kwahiyo bei
ya kitu yaweza kuwa chini bado watu wakawa hawana ela. Lakini nashukuru kwa ushauri mkuu.