Daah![emoji26] hiv vitu napendaga tatizo hela sina
Nipe namba yako ya whatsapp nikununulie
Dont worry mkuu.
1 day yes[emoji120]
Namba ya WhatsApp au m-pesa [emoji19]
Hhh wewe slide tu kwenye uzi wangu,ntakata 18% akikubali..[emoji16]
Anza ya whatsapp kwanza then ya mpesa
Hhh wewe slide tu kwenye uzi wangu,ntakata 18% akikubali..[emoji16]
Yako ninayo tatizo sina bando ningekutext [emoji18]
[emoji125][emoji125]kwan kunabiashara gani inaendelea?
Aya leta ya mpesa tuone
Ya laptop [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji39] nishakutumi
Mbn sijaiona!? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]