sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,052
- 1,306
Habarini
wakuu nauza laptop aina ya sony vio kwa 250,000
Specification
Intel pentium
Ram 4gb
Hd gb 500
64 bit
Matatizo
Baadhi ya batani hazibonyezeki ni ya kubadilisha mother board
Betri haikai na chaji
Nb
Laptop inawaka na naitumia ukiipenda nicheki View attachment 777909View attachment 777911View attachment 777913
Mkuu labda wasitokee wanaoipenda kama wwDahh nimeipenda hii mkuu 250K unaweza kuvumilia mpaka Mwezi wa 8 ule hii pesa
chukua 150KHabarini
wakuu nauza laptop aina ya sony vio kwa 250,000
Specification
Intel pentium
Ram 4gb
Hd gb 500
64 bit
Matatizo
Baadhi ya batani hazibonyezeki ni ya kubadilisha mother board
Betri haikai na chaji
Nb
Laptop inawaka na naitumia ukiipenda nicheki View attachment 777909View attachment 777911View attachment 777913
Mkuu uko mbali sanachukua 150K
afu umesema apo nikununua mother body, wajua bei yake??Mkuu uko mbali sana
niongeze kias ganiMkuu uko mbali sana
Nipo victoria karibu na makumbushoUnapatikana wapi mkuu...
Mkuu najua bei yake ndioafu umesema apo nikununya mother body, wajua bei yake??
ni Shingapi bossMkuu najua bei yake ndio
230 mkuuNipo victoria karibu na makumbusho
ok.230 mkuu
Yea boss ndo mana nika muuliza.Mother board = Main board hii ndio machine yenyewe.
Yaan ukitengeneza keyboard unaitumia fresh unaweza kuja icheki mkuuYea boss ndo mana nika muuliza.
kwamm nlizan ni keyboard ndo tatzo
sa labda ana manisha tatzo lime anzia kwenye motherboard
Aaaaah chief ww ni afisa tii araaa eiii niniLisit kama kawaida sio?
Nitumie picha zake ukiacha izo,Yaan ukitengeneza keyboard unaitumia fresh unaweza kuja icheki mkuu