Laptop for Sale - Acer Aspire 5515!

UserX

Member
Joined
Sep 4, 2014
Posts
11
Reaction score
2
Condition: It is in good condition and working order
Installed Operating System - Windows 7 Ultimate
AMD Athlon 2650e 1.6 GHz
3 GB RAM
160 GB HDD
CD-RW/DVD ±RW (±R DL) - Not working!!
ATI Radeon X1200 Graphics
Acer InviLink 802.11b/g Wireless
Gigabit Network Card
2x High-Speed USB 2.0
Web Cam
15.4" Widescreen LCD
Dead Battery
AC Adapter



Laptop hii ni nzuri kwa matumizi ya kawaida. Bei Tshs. 300,000/=
Mawasiliano: PM



 

Hahahaha....nimependa hizo sehemu ulizoweka rangi nyekundu! Yani umeamua kuwa mkweli kabisa kwa wana JF kuhusu hali ya Laptop yako iliyopo sokono.

Ushauri: Kwa hali hiyo ya laptop yako, bei yake inapaswa kuwa Tshs. 150,000/=, na sio zaidi.
 

Inayo RS232 Port ile yenye pin9?
 
Hapa port zinazoonekana ni VGA, USB, na ethernet peke yake!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…