Laptop aina ya Apple (MacBook Pro) inauzwa. New model

unapaswa kuweka specification ikiwa ni pamoja na mwaka wake eg 2012,..
 
Kashanga kama upo Dar tuonane uone na kama kweli unavijua vifaa vya Apple plse come kuona bure siwezi weka model hapa na mm naoga matapel pia
 
Kashanga kama upo Dar tuonane uone na kama kweli unavijua vifaa vya Apple plse come kuona bure siwezi weka model hapa na mm naoga matapel pia

Duh hii kali Yaani kuweka specifications unaogopa matapeli? We chiboko
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…