aise ahsante sana kwa msaada wako.ntafanya hvyo niliuwa najarbu kuweka details kwa simu sema naona haina functions nyingi will update evrything u listed as soon as possible.ahsante sana na bei ndo maana nkasema negotiable mpaka tutakapoafikiana ndo hapo.