Kama kweli gari ina kilomita 41,000 basi bei ni poa sana, tena ni fairly new kwa Land Cruiser... tena ni new kimatumizi, sio new ya plate namba A, B, C, D..... kwa tafsiri za gari mpya kibongo bongo
Tatizo ni kwamba kuna uwezekano Odometer imechezewa, gari ya mwaka 1999 bado ina kilomita 41,000?
I smell a rat.