Nauza laini za uwakala zinafanya kazi vizuri na zimesajiliwa kwa alama za vidole, ukitaka kubadilisha zitumie majina yako tunabadilisha sharti uwe na TIN NAMBA pamoja na LESENI ya biashara pia utakua na mawasiliano na mimi wakati wa kuanza kuzitumia ili kama kunachangamoto utakayokutana nayo tuitatue