Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,850
- 803
Samsung Galaxy zile kubwa kama vile S4,S3, Note 2,Note 3 zinatumia Display ya hali ya juu (AMOLED). lakini hizi samsung na simu zingine za kawaida zinatumia TFT (Thin Transistor Film)
Nyingine hiyo
wakuu hebu msaidieni huyu kaniuzi kuikandia tecno wakat mwenyew kaweka picha za photoshop anadai zimepigwa na sijui samsung.kuwa makin tecno wako vizur coz hata samsaung hawatengenez processor hivy hivy kwa tecno so najua kinachowauma watu humu ndan ni kuona m2 anatumia pesa kidogo anapata kitu kama chake, kingin ni ushamba,kufuata mkumbo NISHATUMIA CM NYING XIJAONA UTOFAUTI MKUBWA KWA TECNO labda kwa mambo ya kitoto na yasiyokuwa na tija kama air gesture ya samsung

jaman,tecno p5 ina viris kama 14 hivi; je nitawezaje kuwatoa hawa virus? msaada unahitagika wanajamii.

ymollel hii hivi techno p5 ni laini moja na inaenda kwa bei gani mjini dar? naitaka techno au huwaie ascend.
ymollel na @PRISCUS JR nataka simu ya laini moja tu,umesema tecno ni laini mbili sasa kati ya huawei na htc je nichukue ipi na bei gani kwa hiyo simu. nimechoka na BB kwa sasa.
Ahsante
kirusi cha ukimwi janga la africahicho kirusi/virus mkuu.tecno nimeikubali.iscan simu yako mkuu.