Kwa wanaohitaji uyoga

davycom

Senior Member
Joined
Mar 18, 2009
Posts
101
Reaction score
27
Tunauza uyoga fresh hapa dar es salaam.

Bei:
Kilo 1 ni Tsh 8000
Delivery fee: Tsh 2000

Kwa anayehitaji uyoga fresh awasiliane nasi kupitia +255 656 214 678, 0786517320.











 
Naupenda sana uyoga but nauogopa,maana kuna mwingine una sumu
 
Naupenda sana uyoga but nauogopa,maana kuna mwingine una sumu
Inategemea ni aina ipi ya uyoga, kuna uyoga inayoliwa (edible mushrooms) ambayo huoteshwa kwenye mashamba kama inavyoonekana kwenye hizo picha. Uyoga unao uogopa ni ule unaopatikana porini ambao upo tofauti kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…