mwachewangu Senior Member Joined May 4, 2011 Posts 111 Reaction score 41 Aug 28, 2013 #1 Viwanja Vilivyopo Kigamboni Mwasonga (Karibia na Dar Es Salaam Zoo) Vinauzwa kwa Bei Utakayomudu KILA SQ METER MOJA NI SH ELFU SABA. Ni viwanja vyenye hati na Vilivyokwisha pimwa Tayari Kwa Mawasiliano. 0767-547228
Viwanja Vilivyopo Kigamboni Mwasonga (Karibia na Dar Es Salaam Zoo) Vinauzwa kwa Bei Utakayomudu KILA SQ METER MOJA NI SH ELFU SABA. Ni viwanja vyenye hati na Vilivyokwisha pimwa Tayari Kwa Mawasiliano. 0767-547228
Waridi JF-Expert Member Joined Mar 30, 2008 Posts 1,025 Reaction score 174 Aug 28, 2013 #2 Mkuu, kwenye ramani hii unaweza kuonesha ni wapi hasa vilipo?
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,713 Reaction score 94,678 Aug 28, 2013 #3 Dsm zoo kuna viwanja vya kupimwa? Unafika kwa muarabu wa oilcom pale kwenye uzio wanafuga ng'ombe?