Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 320
- 1,187
Nyumba yngu siuz familia imekataa
Ningevunja nikatulia nikaiuza baadaeKuna mzee mmoja hapa ubungo alitaka kuiuza nyumba yake kwa Bei ya tsh mil 25,wakapangana na madalali wawili ambapo madali watachukua mil 2 tu.
Sasa madalali wamempata mteja ambae alivoina nyumba akasema yeye atainunua kwa tsh mil150..madalali wakamuambia mzee sisi hio mil 2 usitupe,Cha msingi wewe chukua chako ulichosema unakiuza mil125 tuachie... Sasa wapo wanaosema mzee kaleta tamaa je wewe ungechukua kinachokuhusu au ungevunja biashara?
Madalali mmefikaKama kutafuta mteja ni kazi rahisi, angetafuta yeye; apunguze tamaa.ile ni taaluma ya watu; auze apokee chake
WEE TAMAA LAZIMA, HELA TAMUKuna mzee mmoja hapa ubungo alitaka kuiuza nyumba yake kwa Bei ya tsh mil 25,wakapangana na madalali wawili ambapo madali watachukua mil 2 tu.
Sasa madalali wamempata mteja ambae alivoina nyumba akasema yeye atainunua kwa tsh mil150..madalali wakamuambia mzee sisi hio mil 2 usitupe.
Cha msingi wewe chukua chako ulichosema unakiuza mil125 tuachie... Sasa wapo wanaosema mzee kaleta tamaa je wewe ungechukua kinachokuhusu au ungevunja biashara?