F fredrick nyondo Member Joined Feb 4, 2019 Posts 18 Reaction score 13 Feb 6, 2019 #1 Viazi miringo vinauzwa vipo mufindi karibu na mafinga,vitaanza kuchimbwa baada ya wiki mbili au tatu kutoka sasa mwezi huu februali, kwa mawasiliano piga simu 0755049741, bei ni maelewano, karibu sana Sent using Jamii Forums mobile app
Viazi miringo vinauzwa vipo mufindi karibu na mafinga,vitaanza kuchimbwa baada ya wiki mbili au tatu kutoka sasa mwezi huu februali, kwa mawasiliano piga simu 0755049741, bei ni maelewano, karibu sana Sent using Jamii Forums mobile app
Africa Tanzania JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 1,504 Reaction score 2,276 Feb 6, 2019 #2 Taarifa iko nusu hiyo! Watanzania mnakwama wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
Quetzal JF-Expert Member Joined Dec 9, 2018 Posts 6,345 Reaction score 10,841 Feb 6, 2019 #3 Africa Tanzania said: Taarifa iko nusu hiyo! Watanzania mnakwama wapi? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... IPo nusu kivipi ?Mbona mi nimeelewa. Kwani we hujaelewa wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
Africa Tanzania said: Taarifa iko nusu hiyo! Watanzania mnakwama wapi? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... IPo nusu kivipi ?Mbona mi nimeelewa. Kwani we hujaelewa wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
busha JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 1,711 Reaction score 2,579 Feb 6, 2019 #4 Bei,,unauza kwa kilo,tani au kwa gunia,,fafanua mzee,,,pia kuna aina za viazi.yako aina gani,,,? Sent using Jamii Forums mobile app
Bei,,unauza kwa kilo,tani au kwa gunia,,fafanua mzee,,,pia kuna aina za viazi.yako aina gani,,,? Sent using Jamii Forums mobile app