Guys natoa huduma ya kutengeneza logo au nembo kwa ajili ya biashara fulani,kampuni,website,event na kadhalika kwa bei nafuu kabisa tsh.30,000/= tu kwa anayehitaji logo awasiliane nami kupitia 0689341445
Ahsante sana mkuu! Ila m na ushaur, clouds kila siku wanatangaza mtonyo wa milion moja kwa atakayetengeneza logo au nembo ya sambaza upendo tanzania at 50! Vipi unaonaje ukashiriki coz n pesa ndefu sana hyo!
onesha sample then tuchekiane,nahitaji logo