Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 770
- 1,898
Hao wanahafueni wanakuwa wanapata posho kote koteJe mama aliyezaa na wanaume tofauti
Je mama aliyezaa na wanaume tofauti
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hao wanahafueni wanakuwa wanapata posho kote kote
Zingatia kichwa cha Habari
Hakuna kitu kinachotesa wazee wengi kama wale ambao wana watoto wengi kwa wamama tofauti hii ujanani unaweza ukajiona mwamba lakini mbele ya Safari kwenye utuuzima unakuja kuwa mtu wa kupokea lawama kila upande , kiini cha matatizo yote naandika kwa herufi kubwa ni UCHUMI, kila familia inakuwa ivutia kamba kwake nikiwa na maana wanataka huduma zote za kifedha na mali ulizozitafuta uwagawie na usipotimiza wajibu kwa pande yeyote wewe utakuwa mtu wa kupokea lawama kwa watoto wako walio jazwa sumu na mama zao , kijana weka umakini unapochagua mke wa kuoa ili upate mtu wa kudumunae uwe na familia moja
🤭Hao wanahafueni wanakuwa wanapata posho kote kote
🤣🤣🤣🤣🤣Hao wanahafueni wanakuwa wanapata posho kote kote
NAKAZIAKila mmoja anaroga kivyake ili akuwini, watoto kutokuwa na umoja.
Faida utaepuka laana ya magonjwa, umasikini,nk tofaut na aliyezaa na mmoja
Maisha hayana formula, unaweza kuwa na watoto kwa mke mmoja na wakadai Mali Kila mmoja afe na chake mapema.
Hi standard umeitoa wapi? Au mawazo yako tu bila supportive evidence? Au umeona kwenu? Kama huna ithibati toa tu kama tetesi au mawazo yako tu ya utotoni!
PMJNaunga mkono hoja.
Mh. Umemjibu vizuri , ubarikiwe kwa akili zako popote ulipo kula tanoHakuna cha thesis wala evidence, wanawake hawapendani ni wazi, unapo ji engage na mwanamke zaisi ya mmoja unakaribisha hiyo chuki ndani, unapokaribisha hiyo chuki ndani inaenda tenga watoto.
Wewe kama umezaa na wanawake wengi hakuna mwenye shida na wewe, anaongea na kuwashauri ambao bado wana nafasi ya kufanya tofauti.