heheheheh ndugu yangu weee maisha yenyewe mafupi yanini kujipa stress na mtu niliyekutana naye ukubwani? i love my self too much siwezi kujikosesha furaha wala kuusononesha moyo wangu kwaajili ya mwanaume, nilikuja peke yangu duniani, and yes its an open relationship, asante pia kwa ushauri nimepata dawa na everything ziko fine kwa sasa