Habari zenu ndugu zangu! Nna tatizo la kuumwa meno yoote kinywa kizima hasa ya hapa mbele! Si maumivu makali Ila yanauma! Mpaka kichwa huniuma! Kichwa nakuwa ckielew elew kabisaa! Af ikutokea kuna msuguano Kati ya labda mtu amesogeza kitu MF.sufuria kwenye tiles mamaaa ndo yanazidi! Hii hali inanikosesha raha jaman nisaidieni tafadhalini