Haya maneno yanakuhusu mpaka wewe 'boss'. Mweee! Tena yule jamaa alikua anaonekana 'boss' flan ivi. Ni wewe boss nini!!!
hiyo harufu ni SUNNAKwenye usafiri kuna mambo.
Niliondoka Mtwara juzi nikirejea Dar jirani yako aliketi kijana wa kipemba, nadhani alikuwa amefunga. tatizo lake akifungua mdomo inatoka harufu mbaya kwelikweli zaidi ya choo cha sokoni, ilibidi nisifunge dirisha toka Mt hadi Dar.
Nimekaa siti namba 12A, jirani wangu siti no. 12B ni mnene balaa. Ameni-squeez sina raha. Safari ni ya masaa 8. Jamani nini haki yangu hapa? Nikimuambia mhudumu hakuna ki2 anasaidia, na hakuna nafasi iliyowazi.
Kwa nini kama unajua uko oversize usi-book siti 2 kwa 1 ujiperaha mwenyewe.
Nadhan asili ya tatizo la oversize ni kua watoto wa siku hizi hawachezi komborera, rede, mpira na michezo mingine. Kazi kucheza game za computa na kuangalia Tvs 2.
Hebu 2we realistic, kama umejiachia ukawa 'jumbo' basi ukisafiri nunua siti ya ziada ili usiminye raha wenzako bana. Argh!
Hata kama unahaki ya kufikia keyboard upo ustaarab wa kuandika tena suala linalomuhusu kiumbe mwenzako. Sina hakika wewe ubora au usafi wako ni upi? Jifunze kuheshim watu, na si ujanja kukejeli na kukashifu watu. Humjui huyo kijana wa Kipemba sijui imekusaidia nini kumdhalilisha hapa. That is typically personal attack.Kwenye usafiri kuna mambo.
Niliondoka Mtwara juzi nikirejea Dar jirani yako aliketi kijana wa kipemba, nadhani alikuwa amefunga. tatizo lake akifungua mdomo inatoka harufu mbaya kwelikweli zaidi ya choo cha sokoni, ilibidi nisifunge dirisha toka Mt hadi Dar.
Hata kama unahaki ya kufikia keyboard upo ustaarab wa kuandika tena suala linalomuhusu kiumbe mwenzako. Sina hakika wewe ubora au usafi wako ni upi? Jifunze kuheshim watu, na si ujanja kukejeli na kukashifu watu. Humjui huyo kijana wa Kipemba sijui imekusaidia nini kumdhalilisha hapa. That is typically personal attack.