Habarini jf doctors, me nina mwanangu wa miezi 10 anaumwa, lkn cjui kinachomsumbua, maana anapandwa na joto kali, nimempima malaria, hana, nikimpa panadol linapungua ila badae linapanda tena, doctors nisaidieni, je nimpime vipimo gani vingine, mana naogopa acje akazidiwa, nawasilisha.