Mkuu kiwanja kina hati?ya miaka mingapi?kuna picha zozote za majirani au kuna nyumba ipo hapo kwenye kiwanja au ni plain like uwanja wa mpira?naomba utafute posts anazoweka jamaa mmoja anaitwa KITOMAI! matangazo yake yanajitosheleza kwani hakuna anayeuliza swali!anakuwekea kila kitu kweupeeee!