Mkuu ulipimwa damu? mimi pia nilipimwa nikaambiwa nna damu kidogo, katika maelezo niliyomueleza daktari ni kuwa si mtumiaji mkubwa wa maji, nikaandikiwa dawa moja ya maji na vidonge nikatumia huku nikishauriwa kula mboga za majani kwa wingi na kunywa maji mengi, tena bora wewe utakuwa umewahi mimi niliumwa hadi nikisima nadondoka, kunywa maji mengi pia fuata ushauri wa daktari.