Kongamano la CHASO-Chadema Student Organisation lafana

TGS D

Senior Member
Aug 3, 2010
114
13
Kongamamo lililoandaliwa na CHASO lililofanyika jumamosi 22/01/2011 lilifana na hizi ni baadhi ya picha nilizofanikiwa kupiga.


Enjoy yourself.






Wadau wakiwa viwanja vya shule ya Msingi Makuburi kabla ya Kongamamo kuanza.


Ndg.Vincent Kimaro nakifungua kongamano



Peoplesssss powerrrr!!!!



Watu wakijumuika huku wameshikana mikono wakiimba Solidarity forever...solidarity forever



Mh.Zitto Kabwe jukwaani


Mh.Joseph Mbilinyi aka Sugu akisalimia wananchi jukwaani.

Mh.Sugu akianzisha Sala ya Taifa ambayo ni wimbo wa Taifa baada ya kuombwa na wananchi

Mh.Regia Mtema akisalimia wananchi





Mh.Mnyika akissitiza mada ya katiba jukwaani

Ndg.Renatus Mkinga nae alikuwepo





Start TV nao hawakubaki nyuma...


Sauti ya Simba au Simba mzee mh.Silinde kutoka Mbozi akisalimia wananchi


Mh.Marando akihutubia wananchi na kufafanua masuala kuhusu katiba


Ndg.Mkinga akisalimiana na wananchi
 

Attachments

  • Photo-0181.jpg
    57.2 KB · Views: 43

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…