Kiwanja/shamba linauzwa

radavi

Senior Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
179
Reaction score
54
Wana jf naleta kweni biashara ya kiwanja/shamba lipo kigamboni gezaulole na kinaukubwa wa heka kumi(10), pia kina hati.
Kiwanja/shamba kipo eneo zuri na kipo karibu na majengo mapya pale geza.
Pia kuna heka nane (8),hiki kina hata ya ununuzi wa kiwanja na kipo kibada na unaweza ukauziwa nusu yake au chote kwa pamoja
Nicheki kwa pm au kwa namba hii 0787125656
 
Weka bei
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…