Kiwanja mita 400 kutoka beach kinauzwa

Master of the game

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
5,858
Reaction score
2,700
Kiwanja kipo km kilometre 10 mpaka 12 kutoka fery kwenye panton na kutoka kiwanjan mpaka beach ni meter 400 mpaka 500.
Block no 7 plot no 118.
Kiwanja kipo karibu na nyumba za national housing na nssf.
Kiujumla kinapatikana Mwongozo area wilayani Temeke, Dar es salaam.
Karibu tuwasiliane kupitia 0689699704 hata sms ukituma itajibiwa kwa wakati.
 
Milioni 35
 
umepata mteja?
 
Mbon bei rahisi ivyo..ntakutafuta km ntawahi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…