Kiwanja kiwanja kiwanja.

MPENDA USAWA

Senior Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
169
Reaction score
30
Kiwanja kinauzwa kipo barabara ya kutoka Visiga kwenda Bagamoyo!na pia ni kilometa 3 toka morogoro road!kipo visiga madafu kina ukubwa wa ekari 1!!bei sawa na bure!!!serious buyer only!!!ni pm tufanye biashara!!!
 
Si unahitaji kuweka namba yako au unapatika kwa njia gani
 
hiyo bei sawa na bure ndo kiasi gani?
au unaweza kumpa mtu bure kabisa?
 
Kiwanja kinauzwa kipo barabara ya kutoka Visiga kwenda Bagamoyo!na pia ni kilometa 3 toka morogoro road!kipo visiga madafu kina ukubwa wa ekari 1!!bei sawa na bure!!!serious buyer only!!!ni pm tufanye biashara!!!

Bei = Bure. Umesomeka mkuu.
 
Mara yapili njoo umtangazie Dada yako anaweza kupata wateja
 
huu ni ujinga mtupu. kama unafanya biashara si uandike bei ya kitu na namba za simu ile watu waweze kuwasiliana moja kwa moja .. PM ndio nini. Ndio waleeeeeeeeeeeee, ... "Simu Unayopiga Haipatikani"
 
Kuna watu wamezidi ujinga wa hawajielewi ------- zao
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…