M mshikachaki Member Joined Mar 4, 2011 Posts 36 Reaction score 8 Mar 23, 2015 #1 Kiwanja kizuri cha makazi kinauzwa: Mahali: Mbezi makabe ukubwa:35m kwa 25 bei:kati ya 17.5m na 19m contact:0752677258 au-0714676795
Kiwanja kizuri cha makazi kinauzwa: Mahali: Mbezi makabe ukubwa:35m kwa 25 bei:kati ya 17.5m na 19m contact:0752677258 au-0714676795
M mshikachaki Member Joined Mar 4, 2011 Posts 36 Reaction score 8 Mar 23, 2015 Thread starter #2 Kiwanja hicho hakina hati na mtoa tangazo hili ni mwenye kiwanja wala si dalali
O Old Member (Retired) JF-Expert Member Joined Sep 29, 2012 Posts 3,401 Reaction score 1,618 Mar 23, 2015 #3 Picha???
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,352 Reaction score 108,471 Mar 23, 2015 #4 Mbezi Makabe ndio bei za viwanja zimekuwa kubwa hivi...? Na ukubwa wenyewe hata nusu ekari haufiki... Hatari sana...
Mbezi Makabe ndio bei za viwanja zimekuwa kubwa hivi...? Na ukubwa wenyewe hata nusu ekari haufiki... Hatari sana...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,352 Reaction score 108,471 Mar 23, 2015 #5 mshikachaki said: bei:kati ya 17.5m na 19m Click to expand... Hii ni lugha ya kisanii... Kiwanja kimoja kitakuwa vipi na range ya bei... Weka bei moja na uweke nafasi ya watu kupatana bei...
mshikachaki said: bei:kati ya 17.5m na 19m Click to expand... Hii ni lugha ya kisanii... Kiwanja kimoja kitakuwa vipi na range ya bei... Weka bei moja na uweke nafasi ya watu kupatana bei...