Kiwanja kinauzwa

Shebi Gwara

Member
Joined
Mar 30, 2010
Posts
14
Reaction score
5
Habari wana JF!
Kuna kiwanja maeneo ya chanika kwa singa kinauzwa. Ni cha miguu 17 kwa 17, Kutoka kwa singa mpaka kilipo ni mwendo wa dakika 12 hadi 15 kwa miguu. Bei ni 2 millions inapungua atakayependa tuwasiliane kwa namba 0712 541434.
Ahsanteni.
 

Kiwanja ni kidogo sana hicho ni sq meter 289 tu daa si unajenga chumba kimoja na choo basi unamaliza kila kitu hata pa kupaki pikipiki haupati.
 
Sio kweli kuwa unajenga chumba kimoja na choo huo ni mtazamo wako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…