SEBABIC METAL WORKS
Member
- Oct 27, 2019
- 14
- 127
Sio wote mkuu....Ulivyoandika sasa, kama wote wanapajua huko
Katoro Geita mkuuSijui ni Katoro ya Geita sijui ni Katoro ya Mombasa kenya kama nako kuna Katoro anajua mwenyewe mwandishi.
Kuna madini? Ila hata maana kama hizo sqm 840 hiviNimeongea nae anadai kiwanja kinauzwa Tsh Million 150
Labda madini nje nje MkuuHuwezi kuuza kiwanja katoro kwa milioni mia, hilo sahau kabisa mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huwezi kuuza kiwanja katoro kwa milioni mia, hilo sahau kabisa mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari mkuuWeka bei apa.atakayevutiwa na Bei aje
Sio hivyo mkuu....Kiwanja kinauzwa 3 millNimeongea nae anadai kiwanja kinauzwa Tsh Million 150
Sio hivyo mkuu....Kiwanja kinauzwa 3 mill
Punguza kidogo basiBei bado kubwa mno