Kipo Goba mpakani karibu na Goba Secondari. Ukubwa ni 40*37
Ni rahisi kufikika toka Mbezi ya Kimara ni dakika 50,kipo karibu na barabara.
Hakijapimwa na hakina hati.
Bei ni 6 million
kwa ajili ya kukiona contact 0712650807 dalali hatakiwi
Kwa maelekezo zaidi ni PM