Kiwanja kinauzwa

Kaka Sai

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
13
Reaction score
5
MAHALI: MSIGANI-MADALE, DAR ES SALAAM
KM 6 KUTOKA TEGETA KIBAONI
BEI 30M
Contact 0686621567 mwenye Site (KAKA SAI) kwa mnunuzi tu mwenye nia

KUNA FRAME TATU ZA BIASHARA

SITE INA
vyumba vitatu viwili ni self contained
ukubwa wa vyumba ni 4 kwa 3 mita viwili na 3 kwa tatu kimoja

Pia kuna choo kimoja cha public
Jiko
DH na Sitiing rooms, ukubwa wa DH ni 5 kwa 4 mita PIA siting room ni 3 kwa 3 mita
kuna shimo la choo futi 13 urefu na futi 10 upana

bara nzuri na huduma za kijamii umeme na maji vipo karibu


UKUBWA WA KIWANJA NI 27 KWA 25
ENEO LIMEPIMWA
NA KIWANJA KINA NAMBA TAYARI AMBAYO IPO KWENYE KIBAO
DOCUMENTS ZOTE MUHIMU ZIPO
UTARATIBU WA KUPATIA HATI NDO UPO MBIONI SASA
 
Ukifika 16 M ni pm kiongozi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…