Kiwanja kinauzwa

ChiefSkin

Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
83
Reaction score
25
Ninauza kiwanja changu kipo vikindu eneo linaitwa kazole kilomita saba kutoka barabara ya lami. Kina msingi wa master na chumba kingine. Yapo matofali zaidi ya mia mbili. Kiwanja kina ukubwa wa futi mia kwa futi 60. Gari inafika mpaka kwenye kiwanja. Kipo kwenye mpangilio wa mitaa. Bei milioni nane na nusu maelewano yapo. Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0768140063. Kiwanja ni changu
 
Aiseeee bei imechangamka sana mkuu jaribu kuangalia ft 60 ni kama 18m tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…