Kiwanja kinauzwa

bigjeff

Senior Member
Joined
Oct 25, 2009
Posts
111
Reaction score
22
Nauza kiwanja kipo Kisemvule(Mbagala) kina hati.,ukubwa 100*50,kutoka barabara kuu kama km1.5,bei tunaanza 5.5m,maelewano yapo nipigie 0716792692,Asanteni.
 
Nauza kiwanja kipo Kisemvule(Mbagala) kina hati.,ukubwa 100*50,kutoka barabara kuu kama km1.5,bei tunaanza 5.5m,maelewano yapo nipigie 0716792692,Asanteni.

Mkuu bigjeff HIZO 100*50 ni mita au suti?
 
m 5.5 kwa usawa huu magufuli sahau sema me nikupe m 2.5
 
Nauza kiwanja kipo Kisemvule(Mbagala) kina hati.,ukubwa 100*50, kutoka barabara kuu kama km1.5, bei tunaanza 5.5m,maelewano yapo nipigie 0716792692,Asanteni.
Huu ukubwa ni Mita, futi au hatua za Miguu??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…