talnam JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 1,452 Reaction score 2,831 Oct 7, 2016 #1 Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa maeneo ya mabwe kwa kitua, miguu 18/25 kwa shilling Mil 4. Kwa maelezo zaid Tuwasiliane no. 0712878698
Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa maeneo ya mabwe kwa kitua, miguu 18/25 kwa shilling Mil 4. Kwa maelezo zaid Tuwasiliane no. 0712878698
M mkulima maskini JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 254 Reaction score 50 Oct 7, 2016 #2 Mabwe ndo iko wapi
talnam JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 1,452 Reaction score 2,831 Oct 7, 2016 Thread starter #3 Bunju mwisho kuna Noah zinaelekea huko haufiki msitu wa mabwe pande na noah nauli 500 mpaka hapo kijijini(hili ni jina tu la kituo cha mwisho)
Bunju mwisho kuna Noah zinaelekea huko haufiki msitu wa mabwe pande na noah nauli 500 mpaka hapo kijijini(hili ni jina tu la kituo cha mwisho)
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,734 Reaction score 9,916 Oct 7, 2016 #4 Miguu,dunia hiii
talnam JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 1,452 Reaction score 2,831 Oct 7, 2016 Thread starter #5 Zanzibar Spices said: Miguu,dunia hiii Click to expand... Loh! Ni vile tu sina utaalam sijui hata wanapimaje ila nmesema ivo maana ndo naona maneno wanayotumia. Ila ni eneo kubwa hata kukiwa na mpimaj wa serikali linakatwa.
Zanzibar Spices said: Miguu,dunia hiii Click to expand... Loh! Ni vile tu sina utaalam sijui hata wanapimaje ila nmesema ivo maana ndo naona maneno wanayotumia. Ila ni eneo kubwa hata kukiwa na mpimaj wa serikali linakatwa.