Kiwanja kinauzwa

EFS

Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
18
Reaction score
7
Habari zenu wadau, poleni na majukumu, kiwanja kinauzwa mkoani Dodoma maeneo ya Msalato, kina ukubwa wa 20 kwa 45, huduma zote muhimu kama umeme, maji, usafiri zinapatikana kwa urahisi kabisa, hakijapimwa being ni sh. 3,000,000 tu, karibuni sana
 
Umbali to Dodoma Mjini??
 
Kimepimwa??? Mbona hujaweka mawasaliano mkuu. Kipo msalato karibu na wapi????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…