GREAT VISIONAIRE
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 365
- 454
ni mita kakaUkubwa wa 60*50 ni mita au futi?
ni njia ya kwenda buswelu,umeme,maji availableVipi kuhusu maji na umeme
Kiwanja kipo bugogwa,wilaya ya ilemela. Kina ukubwa wa 60 kwa 50.kinauzwa tzs milioni moja na laki mbili. MMiliki ana shida na instalment inakubalika hadi mara tatu.
Kwa maulizo zaidi tumia namba 0765540059
Tupia picha hapa, alafu jibu maswali ya wadau uletewe pesa mkuu.Bado kipo?