Kiwanja kinauzwa mwanza bei chee

Joined
Jan 26, 2013
Posts
34
Reaction score
7
Kiwanja kipo eneo la bugogwa,jirani na barabara ya wilaya ya ilemela inayowekwa lami kutoka makao makuu ya wilaya kuelekea igombe inayotengenezwa.
Hakijapimwa bado,
Lina ukubwa wa 70 kwa 50
bei millioni 5.PM kwa mawasiliano zaidi.
 
Nani kakwambia barabara hiyo ya Bugogwa to wilayani kupitia Tx(Mhonze) inawekewa lami? We uza tu hilo shamba ila usitie mbembwe nyiiingi. Maeneo hayo yako poa sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…